1 Chronicles 24:19

19 aHuu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Haruni baba yao, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru.

Walawi Waliobaki

Copyright information for SwhKC